NI Kutoka lebo ya Kings Music inayoundwa na Alikiba, Abdukiba, K2ga na Tommy Flavour ambapo time hii wameungana kutuletea video mpya ya wimbo wao uitwao Ndombolo, unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichokiandika.
TAZAMA MTOTO WA ALIKIBA ALIVYOICHEZA NDOMBOLO MBELE YA ALIKIBA NA ABDUKIBA