Habari za Mastaa

VideoMPYA:Drake baada ya kufanya vizuri kwenye mtandao ‘TikTok’ kaileta nyingine

on

Ni Headlines za mkali kutokea Toronto huko nchini Canada ambae time hii ameachia wimbo mpya baada ya kupenda kile kilichofanywa na mashabiki zake kupitia mtandao wa TikTok.

TikTok ni mtandao maarufu ambao watu wengi wamekuwa wakijirekodi ama wakifanya Challenge zao kupitia wimbo wa Drake uitwao Flip the Switch.

Sasa Mkali huyo ametuletea wimbo mpya uitwao Toosie Slide, unaweza ukabonyeza play kuitazama video ya wimbo huo aliyoutayarisha kwenye jumba lake la kifahari huko Canada.

Soma na hizi

Tupia Comments