Video Mpya

VideoMPYA:Kama uliimiss hii ya Whozu na Baddest 47 ‘Pwaah’ itazame hapa

on

NI Headlines za wakali wawili kutokea Bongo Flevani, Whozu na Baddest 47 ambapo baada ya wimbo wao Aah wapi kufanya vizuri kwenye charts mbalimbali za Radio na mitandaoni, sasa time hii wamekuletea hit nyingine iitwayo Pwaah, unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kuandika chochote ili wawili hao wapite waone ulichowandikia.

Soma na hizi

Tupia Comments