AyoTV

VIDEO:Mrembo Poshy kachumbiwa na mwanaume huyu huko kwako Mbeya

on

Ni Mrembo aliejibebea umaarufu kupitia mtandao wa instagram, Poshy Queen  time hii anaandika vichwa vya habari baada ya kuvalishwa Pete ya Uchumba na mpenzi wake mwenye uraia wa Nigeria aitwae John.

Tazama hii video hapa kushuhudia tukio hilo linalofanyika mkoani Mbeya muda huu

Soma na hizi

Tupia Comments