Habari za Mastaa

Video:Mtoto wa Zamaradi na Ruge akijibu maswali ya mwandishi kama mtu mzima bila kusaidiwa

on

Ni mahojiano na mtoto wa Zamaradi, Russell Mutahaba ambaye leo alikutana na waandishi wa habari na kuzindua kitabu chake kiitwacho Change Your World, sasa Ayo TV & Millardayo.com ilipata nafasi ya kuzungumza nae machache kutusu kitabu hicho.

MTOTO WA ZAMARADI MWENYE MIAKA 8 AANDIKA KITABU NA KUKIZINDUA RASMI LEO HII

Soma na hizi

Tupia Comments