Top Stories

Video:Muonekano wa jioni Magari yakipita Barabara ya juu Ubungo

on

Tunakumbuka Mei 30, 2020 Barabara za juu (Flyover ) iliyojengwa Ubungo Dar es Salaam  ilianza kufanya kazi ambapo vyombo vya usafiri viliruhusiwa kupitia, sasa leo nimekusogezea hii video ya Drone ikionesha muonekano wa jioni magari yakipita Barabara ya juu Ubungo.

USIPITWE NA MUONEKANO WA STEND MPYA YA MABASI SUMBAWANGA ITAZAME HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments