Burudani

VIDEO:Mwaka mmoja kifo cha Ruge, wasanii wa THT waianza safari kuelekea bukoba

on

Ni Mwaka mmoja tangu mpendwa wetu Ruge Mutahaba atangulie mbele za haki, sasa wasanii wa THT wameshaanza safari ya kwenda mkoani Bukoba kwaajili ya kumuenzi.

Itazame hii video hapa ujionee wakiwa ndani ya gari wakiwa tayari kwaajili ya maandalizi ya safari ya kwenda Bukoba

Soma na hizi

Tupia Comments