AyoTV

VIDEO:Mwanaume anaedaiwa kutoka kimapenzi na shilole kafunguka uhusiano wao

on

NI Sept 22, 2020 ambapo AyoT V & Millardayo.com imekusogezea stori inayomuhusu mpiga picha aitwae Rommy ambae amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na star wa Bongo Flevani Shilole.

Rommy akizungumza na Ayo TV alisema ‘Sio kweli kama mimi natoka kimapenzi na Shilole bali mimi ni mpiga picha wake, naona ule ukaribu wetu wa kazi basi watu wamehisi sisi ni wapenzi lakini sikweli’-Rommy

Kuna muda anasimamia kazi yake mpaka chumbani kwake anaisubiria kwahiyo uende watu kuona hivyo wakaunganisha matukio lakini sio kweli kama sisi ni wapenzi bali tunafanya kazi‘-Rommy

 

PART 2:”WANANIKERA WAKIMUULIZA SHISHI, UCHEBE, AMETENGENEZA SANA MAGARI YANGU” – ROMMY

Soma na hizi

Tupia Comments