Burudani

Video:Mwigizaji wa filamu kajala kafunguka ishu ya kuwa mjamzito

on

NI Mwigizaji kutoka kwenye kiwanda cha filamu Tanzania Kajala ambae amekaa kwenye millardayo.com & Ayo TV kazungumza mijadala iliyokuwa ikiendelea mitandaoni ambayo mashabiki wakisema ana ujauzito.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mwigizaji Kajala alivyofunguka kwenye Ayo TV

Soma na hizi

Tupia Comments