Mix

VIDEO:Mwili wa marehemu Pop Smoke ulivyotolewa nyumbani kwake

on

Hivi ndivyo Mwili wa Marehemu Pop Smoke ulivyotolewa nyumbani kwake. ukiitazama video inaonesha mwili wa msanii huyo ukibebwa kwenye machela baada ya kupigwa risasi FEB 19 Asubuhi nyumbani kwake.

Imebainishwa kuwa, mwili wa rapper huyo umepelekwa kuhifadhiwa Cedars-Sinai Medical Center Huko West Hollywood nchini Marekani.

Soma na hizi

Tupia Comments