Top Stories

Video:Mzee wa miaka 70 anyimwa tendo la ndoa kwa miaka 8, Mke ataka akapime kwanza

on

Joel Laizer ni mzee mwenye Miaka 70 ambaye amedai kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka nane lakini mke wake alimtaka akapime virusi vya UKIMWI alikataa nakusema anachotaka ni hati ya nyumba.

Akizungumzia tukio hilo mke wake amesema amekuwa akinyanyaswa na kwamba hana imani naye kwa sasa kwa kuwa ameshinikiza kupata hati ya nyumba ili auze eneo nakumpa mwanamke wake mwingine.

Soma na hizi

Tupia Comments