Top Stories

VIdeo:Rais Samia kwa mara ya kwanza anachanja chanjo ya Uviko-19

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  kwa mara ya kwanza  akizindua zoezi la utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 , Ikulu Jijini Dar es Salaam, Leo Julai 28, 2021.

Ayo TV imekusogezea ushuhudie Rais Samia akipata chanjo ya kujikinga Uviko-19 katika uzinduzi huo unaofanyika muda huu

TAZAMA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKICHANJWA CHANJO YA UVIKO 19

Tupia Comments