Top Stories

Video:Rostam akabidhi mashine za kisasa Dar es Salaam kujilinda na Corona

on

NI  April 16, 2020 ambapo Mfanyabiashara Rostam Aziz alikabidhi mashine maaalum za kisasa mbele ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwaajili ya kujilinda na Corona Virus. 

Unaweza ukabonyeza play kutazama namna alichozungumza Rostam pamoja na machine hizo

Soma na hizi

Tupia Comments