Habari za Mastaa

Nimekusanya videos 20 za Africa zilizogusa watazamaji wengi zaidi YouTUBE… TZ ipo moja tu!

on

Ni muziki wa Africa kwenye headlines… najua nina watu wangu wengi ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Africa na ndio maana leo nimechukuwa time ya kukusanya videos ambazo zimefanikiwa kugusa watazamaji wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTUBE.

Inawezekana zipo nyingi ila ripota wako wa nguvu amefanikiwa kuzinasa hizi 20 zenye uwingi wa viewers kuanzia milion 10 na zaidi kwenye mtandao wa YouTUBE… ndani yupo D’Banj, Yemi Alade, Davido, Sarkodie, Iyanya, Fuse ODG na wengine kibao ikiwemo Mtanzania mmoja!

PP2

Hizi ni video 20 za wasanii wa Africa zilizofanikiwa kugusa watazamaji wengi zaidi kwenye YouTUBE:

1. P Square – Personally: 57, 122,624 Milion YouTUBE views.

YouTUBE1

2. D’ Banj – Oliva Twist: 36, 397, 296 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE11

3. Yemi Alade – Johnny: 33, 597, 455 Milion YouTUBE views.

Alade

4. Davido – Aye: 28, 374, 016 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE15

5. P Square – Shekini: 25, 708, 163 Milion YouTUBE views.

YouTUBE9

6. Fuse ODG – Antenna: 18, 717, 661 Milion YouTUBE views.

YouTUBE2

7. Sarkodie – Adonai: 18, 204, 590 Milion YouTUBE views.

YouTUBE7

8. P Square – Collabo: 17, 236, 967 Milion YouTUBE views.

YouTUBE8

9. J. Martins – Touchin Body: 16,779, 296 Milion YouTUBE views.

YouTUBE6

10. Davido – Gobe: 16, 608, 739 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE14

11. P Square – Alingo: 16, 288, 951 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE13

12. Davido – Skelewu: 16, 063, 779 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE12

13. Bracket – Mama Africa: 15, 862, 015 Milion YouTUBE views.

YouTUBE5

14. Fuse ODG – Million Pound Girl: 15, 504, 423 Milion YouTUBE views.

YouTUBE3

15. Mavins – Dorobucci: 14, 759, 676 Milion YouTUBE views.

youtube18

16. Iyanya – Kukere: 14, 048,985 Milion YouTUBE views.

YouTUBE4

17. Tiwa Savage – Eminado: 13, 106, 900 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE17

18. Mavins – Adoabi: 13, 023, 728 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE19

19. Diamond Platnumz – Number One Remix: 11, 844, 690 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE16

20. Patoranking – Girlie O Remix: 10, 254, 830 Milion YouTUBE views.

YOUTUBE20

Kuna yoyote ambayo unahisi inatakiwa kuwa hapa lakini sijaiona? niambie kwa kunipa comment yako hapa chini mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.


Soma na hizi

Tupia Comments