Michezo

VIDEO:Sehemu ilipodondoka helkopta iliyopoteza uhai wa Kobe Bryant na wengine 9

on

NI Majonzi na simanzi kwenye mchezo wa mpira wa kikapu baada ya kupoteza watu tisa akiwemo mkongwe Kobe Bryant, sasa hapa nimekusogezea video ujionee mahali ilipodondoka helkopta huku wachunguzi wakifanya kazi yao kwenye mabaki yaliyopo kwenye eneo la tukio.

Soma na hizi

Tupia Comments