Top Stories

VIDEO:Spika wa Bunge anazungumza baada ya kupokea vifaa vya kujikinga na Corona

on

NI April 21, 2020 ambapo Spika wa Bunge Job Ndugai anapokea vifaa vya kujikinga na Ugonjwa wa Corona Virus.

Akizungumza baada ya kupokea vifaa hivyo alisema…’Kampuni ya Taifa Gas ambayo kiongozi wake ni mbunge mwenzetu wa zamani, Rostam Azizi wamekuja hapa bungeni kutupatia mashine mbili ambazo zitasaidia kusanitize waheshimiwa wabunge, wafanyakazi wa bunge na wageni wote ambao wanatembelea hapa bungeni”-Spika wa bunge Job Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments