AyoTV

Video:Steve Nyerere kafunguka ‘Hakuna mahala tumekubaliana nikifa umlee mama yangu’

on

NI Headlines za mwigizaji Kutoka kwenye kiwanda cha filamu Steve Nyerere amekaa na Ayo TV & millardayo.com kufunguka juu kuhusu wanaosema kwamba watu  maarufu wakiwemo wasanii pindi wanapofariki basi marafiki uhitajika kuitunza familia.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza mwanzo mwisho alichokizungumza kwa mtazamo wake

Soma na hizi

Tupia Comments