Ad

Habari za Mastaa

VIDEO:Suma Lee kafunguka alivyoacha ustaa na Pesa ili amtumikie Mungu

on

Miongoni mwa hits zilizokuwa zikifanya vizuri miaka iliyopita kutoka kwa mkali wa bongofleva Suma Lee ni pamoja na Hakunaga ambayo iliingia kwenye list ya nyimbo  kali zilizoanza kuchezwa zaidi ya mara tatu kwa siku mpaka mara nne kwenye wiki ya kwanza tu.

Sumalee aliingia kwenye ukimya baadae na ikaripotiwa kwamba ameamua kuishika zaidi dini yake ya Kiislamu hivyo kutofanya tena muziki wa bongofleva, Sasa leo Mei 20, 2020 amekaa na Ayo TV & Millardayo.com kueleza mengine tusiyoyajua

ITAZAME HII VIDEO UJIONEE AKIFUNGUKA SUMA LEE

Soma na hizi

Tupia Comments