Top Stories

VIDEO:Tamko la Magufuli ‘Tutakuwa na siku tatu za kumshukuru Mungu kwa kutuepusha Corona’

on

NI Mei 20, 2020 ambapo Rais Magufuli akiwa safarini kutokea Chato sasa alisimama mkoani Singida kuwasalimia wananchi na kuzungumza machache yakiwemo kuhusu kutakuwa na siku tatu za kumshukuru Mungu kwa Maajabu ya kutuepusha na Corona.

ULIIKOSA HII YA SUMA LEE KUFUNGUKA ALIVYOACHA USTAA NA PESA ILI AMTUMIKIE MUNGU BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments