NI Mei 18, 2020 ambapo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe amezungumza mbele ya waandishi wa habari kuhusu kufunguliwa kwa usafiri wa ndege za abiria pamoja na udhibiti wa Ugonjwa wa Corona itazame hii video hapa ujionee mwanzo mwisho.
VIDEO:Tanzania yafungulia anga lake kwa ndege za abiria ‘Udhibiti wa ugonjwa wa Corona umeimarika’

Leave a comment
Leave a comment