Top Stories

VIDEO:Tazama Jeshi la Marekani wamepiga magoti mbele ya Raia

on

kiwa bado maandamano yanaendelea nchini Marekani wa kupinga uonevu wa Polisi dhidi ya watu weusi, hii ilibuka baada ya George Floyd kufariki kwenye mikono ya Polisi siku kadhaa zilizopita huko Minneapolis.

Sasa nimekutana na hii ya Jeshi la Marekani wakimsikiliza kwa makini msanii Keke huku mwisho wa siku wakakubali anachozungumza kisha wakapiga magoti, itazame hii video hapa

KWA UCHUNGU POLISI WA MAREKANI ADONDOSHA MACHOZI MBELE YA WAANDAMANAJI

Soma na hizi

Tupia Comments