Top Stories

Video:Tazama Polisi wakiwapigia magoti raia walioandamana na kufanya Vurugu

on

Ikiwa bado maandamano yanaendelea nchini Marekani wa kupinga uonevu wa Polisi dhidi ya watu weusi, hii ilibuka baada ya George Floyd kufariki kwenye mikono ya Polisi siku kadhaa zilizopita huko minneapolis.

Sasa kinachoendelea kwasasa ni kwamba baadhi ya maeneo huko Marekani wanaamua kupiga goti mbele ya raia ikiwa kama kuomba ‘msamaha’ ama uwepo wa Aman na upendo nchini humo.

Soma na hizi

Tupia Comments