Mix

Video:Tazama Rais Magufuli akipiga ngoma, shangwe za band huko Mwanza

on

NI Rais Dkt John Pombe Magufuli ambae leo Desemba 7, 2019 ameingia kwenye headlines baada ya kupiga ngoma kwa furaha wakati wa sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la daraja la Busisi, jijini Mwanza.

Itazame hii video hapa ujionee alivyokuwa akipiga ngoma huko Mwanza

Soma na hizi

Tupia Comments