Top Stories

VIDEO:Tazama Rais Samia Suluhu kwa mara ya kwanza akiongoza kikao cha Mawaziri

on

Baada ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kuapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kilichotokea March 17 2021, 

Sasa kwa mara ya kwanza Rais Samia Suluhu amekutana na Baraza lake la Mawaziri tazama hapa

NYUMBANI KWA MAGUFULI, RAIS MAMA SAMIA, MTOTO WA MAGUFULI WAONGOZA DUA

 

Soma na hizi

Tupia Comments