Habari za Mastaa

Video:Tazama Shilole akiongea Kingereza na mtoto wa Zari ‘Tiffah’

on

NI Headlines za Msanii kutokea Bongo Flevani, Shilole ambae time hii amefika nyumbani kwa Diamond kumsalimia Zari The Boss Lady, sasa Shilole akakutana na Tiffah itazame hii video ujionee anavyokipiga kimombo (Kingereza).

 

MUONE THE BOSS LADY ZARI ALIVYOFIKA MOI KUTOA MSAADA NA ULINZI WA DIAMOND PLATNUMZ

UTACHEKA SHILOLE ALIVYOPAGAWA NA SHAMPENI YA ZARI AROPOKA ‘NILISHAZOEA K VANT’

 

Soma na hizi

Tupia Comments