Mix

Video:Teknolojia iliyobuniwa nchini Marekani kwa lori lenye mizigo kuepuka foleni

on

Ni Headlines za kampuni ya Scania ambapo time hii wamekuja na ubunifu wa kitofauti kwa magari yao ili kuepuka foleni au ucheleweshwaji wa huduma zao huko nchini Marekani.

Unaambiwa Scania kwasasa wanauwezo wa kusafirisha gari lenye tani zaidi ya 40 huku likisafirishwa hewani kupitia drones zaidi ya 2000 na mzigo ukafika salama kabisa

Unaweza ukabonyeza play kuitazama video hii ujionee jinsi gari lenye tani 40 likisafirishwa na drone zisizopungua Elfu 2000 mpaka gari linavyoshushwa.

Tupia Comments