Kama wewe ni mpenzi wa movie za James Bond 007 nina taarifa mpya ninayotaka kukusogezea kwamba mwezi wa nne walitaka kuzindua tolea lao jipya ama mwendelezo wa filamu zao lakini itakuwa tofauti kama walivyotangaza awali kwani leo kuna taarifa mpya imetokea inayosema uzinduzi wa movie hiyo imesogezwa mbele mpaka mwezi Novemba 2020 ni baada ya kutokana kwa mlipuko wa ugonjwa wa Corona.
Taarifa hiyo imeripotiwa live muda huu kupitia Sky News
James Bond 007 mwaka huu walikuwa wanatarajia kuzindua movie ambayo safari hii wanakuambia No time to die, unaweza ukabonyeza play kuitazama trailer