Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Video:Ugonjwa wa Corona wasababisha kusimama kwa uzinduzi wa movie ya James Bond 007 ‘No time to die’
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Video:Ugonjwa wa Corona wasababisha kusimama kwa uzinduzi wa movie ya James Bond 007 ‘No time to die’
Habari za Mastaa

Video:Ugonjwa wa Corona wasababisha kusimama kwa uzinduzi wa movie ya James Bond 007 ‘No time to die’

March 4, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Kama wewe ni mpenzi wa movie za James Bond 007 nina taarifa mpya ninayotaka kukusogezea kwamba mwezi wa nne walitaka kuzindua tolea lao jipya ama mwendelezo wa filamu zao lakini itakuwa tofauti kama walivyotangaza awali kwani leo kuna taarifa mpya imetokea inayosema uzinduzi wa movie hiyo imesogezwa mbele mpaka mwezi Novemba 2020 ni baada ya kutokana kwa mlipuko wa ugonjwa wa Corona.

Taarifa hiyo imeripotiwa live muda huu kupitia Sky News

James Bond 007 mwaka huu walikuwa wanatarajia kuzindua movie ambayo safari hii wanakuambia No time to die, unaweza ukabonyeza play kuitazama trailer

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

TAGGED: James Bond
Edwin TZA March 4, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Agizo la Waziri Mkuu baada kafika eneo lililoposombwa daraja huko Morogoro
Next Article VIDEO: Waziri akesha darajani kupitisha magari usiku ‘Daraja lililosombwa na mafuriko’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
Sports February 2, 2023

You Might also Like

Sports

Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika

February 2, 2023
Sports

Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno

February 2, 2023
Sports

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

February 1, 2023
Sports

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?