Top Stories

Video:Wabunge wafunguka baada ya kuanza kutumia mashine za kujikinga Corona

on

NI April 21, 2020 ambapo Mfanyabiashara Rostam Azizi amekabidhi mashine maalumu kwaajili ya kujikinga na Ugonjwa wa Covid-19 kwenye Bunge la Jamhuri la Tanzania mkoani Dodoma,  sasa hapa Wabunge wamefunguka baada ya kuanza kutumia mashine hizo za kujikinga na Ugonjwa huo.

Soma na hizi

Tupia Comments