Top Stories

Video:Wasambazaji wa taarifa za uongo kuhusu Corona Virus wawekwa chini ya Ulinzi

on

Muda huu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa anazungumza na Waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa wasambazaji wa taarifa za uongo kuhusu Janga la Corona Virus, mtu na mkewe wawekwa chini ya ulinzi.

Itazame hii video hapa ujionee Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa akielezea mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments