Top Stories

VIDEO:Waziri Ummy afunguka mbele ya waandishi wa habari ‘Corona Haiishi leo’

on

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amefunguka mbele ya Waandishi wa havari Leo Mei 14, 2020 kuhusu Janga la Corona Virus nchini na kuendelea kuwataka wananchi kuendelea kujikinga na kuepuka maeneo ya mikusanyiko.

Tutakuwa na wahudumu wa afya ngazi ya jamii(Makomandoo wa Afya), jukumu lao litakuwa kufuatilia tetesi za wenye corona nk, wapo 620, corona itaendelea kuwepo kwa miezi kadhaa, tujifunze kuishi nayo, WHO wamesema hayohayo ambayo JPM amekuwa akiyasema”-UMMY MWALIMU

Soma na hizi

Tupia Comments