AyoTV

VIDEO:Wema akicheka baada ya Idris kuongea utani wake kwa JB

on

NI Headlines za mwigizaji Wema Sepetu ambae jana alifika katika uzinduzi wa tamthilia ya mchekeshaji Idris Sultan, sasa tazama hii video ujionee akifurahi baada ya Idris kuongea utani wake kwa mwigizaji JB kwenda Marekani.

Soma na hizi

Tupia Comments