AyoTV

VIDEO:Wema Sepetu kwenye redcarpet ya uzinduzi wa tamthilia ya Idris Sultan

on

NI Headlines za mwigizaji Wema Sepetu ambae usiku wa FEB 22, 2020 alifika katika uzinduzi wa tamthilia ya mchekeshaji Idris Sultan  iitwayo Nakupenda Kufa.

Itazame hii video Mwigizaji Wema Sepetu akizungumza na waandishi wa habari

Soma na hizi

Tupia Comments