AyoTV

VIDEO:Wolper kafunguka ‘Nimekuwa boss, naishi Arusha, nimeenda kuishi na matajiri wenzangu’

on

NI Mwigizaji kutoka kwenye kiwanda cha  filamu Tanzania, Wolper ambae amekaa kwenye mahojiano na Ayo TV & millardayo.com kazungumza kuhusu kuhamia Arusha na mengineyo.

Unaweza ukaitazama hii video hapa chini ujionee alichofunguka

ULIIKOSA HII YA IRENE UWOYA, KAJALA, SHILOLE NA JOHARI ALIVYOSIMAMA KUCHEZA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments