Habari za Mastaa

Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube…

on

Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo video mpya 5 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube.

Zifuatazo ni video mpya za bongo  zilizotoka mwezi December 2015 ambazo zimechukua headlines hutakiwi zikupite…. ya kwanza kuitazama ni hii ya Alikiba & Christian Bella iitwayo Nagharamia  imewekwa December 19 2015 na mpaka sasa ina view zaidi  133,945.

Ommy Dimpoz ameiachia hii ‘Achia Body’ kwenye YouTube toka December 19, 2015 na mpaka sasa imechukua views zaidi ya 68,236

Hapa chini ni Ben Pol kafanya na Avril directed by Justin Campos, iliwekwa Youtube December 18, 2015 na ina view zaidi ya 28,833

Mr Blue ameiachia hii ‘Baki na Mimi’ kwenye YouTube toka December 14, 2015 na mpaka sasa imechukua views zaidi ya 34,936

Diamond Platnumz ameiachia hii ‘Utanipenda’ kwenye YouTube toka December 11, 2015 na mpaka sasa imechukua views zaidi ya 852,970

Hapa chini ni video ya Chege ft Runtown & Uhuru imetengenezwa na director Justin Campos ambayo imewekwa Youtube December  18, 2015 na mpaka sasa ina views zaidi ya 35,559

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Tupia Comments