Habari za Mastaa

Video:Zawadi aliyoitoa Diamond kwa mtoto wa Irene Uwoya

on

Usiku huu wa June 13, 2021 imefanyika sherehe ya kumpongeza mtoto wa Irene Uwoya kupokea sacrament yake ya kwanza iliyoambatana na siku yake ya kuzaliwa, na hapa msanii Diamond Platnumz aliitwa mbele kwaajili ya kutoa neno na kumpa zawadi mtoto wa Irene Uwoya. PLAY kutazama

MWIGIZAJI AUNT EZEKIEL ALIVYOMTUNZA MIHELA MTOTO WA IRENE UWOYA

 

DIAMOND AKOSHWA NA BENDI YA TWANGA PEPETA TAZAMA ALIVYOKWENDA KUITUNZA MIHELA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments