AyoTV

VIDEO: ‘Naamini Waziri hatomchukulia hatua huyu Mkurugenzi’ –Hussein Bashe

on

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ni kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama bungeni na kuchangia mapendekezo katika Wizara ya afya, ustawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ambapo kati ya vitu alivyozungumzia ni pamoja na tatizo la mashine ya X-Ray katika Wilaya ya Nzega.

Video yake yote nimekuwekea hapa chini tayari….

VIDEO: Kipindi cha maswali na majibu Bungeni May 5, 2017 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments