AyoTV

VIDEO: ‘Waliozaliwa baada ya 1990 wana hatari ya kupata kansa ya utumbo’-Utafiti

on

Utafiti uliofanyika Nchini Marekani unaonyesha vijana waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 wana hatari zaidi ya kupata saratani ya utumbo kuliko wazee wenye chini ya miaka 55 sasa.

Kwa mujibu wa utafiti huo, mtu aliyezaliwa mwaka 1990 ana hatari hiyo mara mbili kuliko walivyokuwa vijana waliozaliwa mwaka 1950, wanasema watafiti kutoka chama cha saratani walioshirikiana na Taasisi ya Saratani nchini Marekani.

AyoTV na millardayo.com imempata Daktari wa kansa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Heri Tungaraza kuzungumzia utafiti huo, Bonyeza play hapa chini kutazama..

Usile chakula cha usiku saa mbili, mwisho ni saa kumi na moja jioni, Bonyeza play hapa chini kusikiliza

Soma na hizi

Tupia Comments