Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam limetoa taarifa ya vifo vya watoto wawili waliofariki Dunia baada ya kujifungia ndani ya gari na kisha kufunga Vioo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP Mulirp Jumanne Muliro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.