Wiki kadhaa zilizopita Kampuni ya Udalali ya Yono ilitangaza kupiga Mnada Jengo la Abla Complex lenye urefu wa ghorofa saba lililopo Mikocheni Dar es Salaam kwa madai kuwa mmiliki wake ameshindwa kulipa mkopo anaodaiwa na KCB Bank Limited.
Ayo TV na millardayocom imempata wakili wa kampuni ya Abla Estates Developer Agency ameeleza kuwa kueleza jengo hilo halikupigwa mnada August 12 2017 kwa sababu kampuni hiyo imefungua kesi kuzuia jengo hilo kupigwa mnada, Bonyeza play hapa chini kutazama hii video
VIDEO: Yusuf Manji kwa mara nyingine ameshindwa kufika Mahakamani, Bonyeza play hapa chini