Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu vigogo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu na wenzake wanne katika kesi ya kuisababishia Serikali ya Tanzania hasara ya Sh.Bil 1.8.
Mbali na Maimu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, wengine ni Meneja Biashara wa (Nida), Aveln Momburi; Mkurugenzi wa Kampuni ya Aste Insurance Brokers, George Ntalima; Mkurugenzi wa Sheria, Sabina Raymond na Xavery Kayombo.
TAZAMA MESSI ALIVYOWASILI HOTELINI UFARANSA, POLISI WAWEKA ULINZI MKALI, MASHABIKI WA “PSG” WAFURIKA