AyoTV

VIDEO: Tatizo la vijana kukosa ajira halijaachwa kimya bungeni leo

on

Vikao vya Bunge vimeendelea tena leo April 27 2016, katika kipindi cha maswali na majibu moja ya Wizara zilizopata nafasi ya kujibu maswali ya wajumbe ni pamoja na Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira, ambapo swali kutoka kwa Esther Michael Mbunge wa viti maalumu aliuliza>>

Serikali kupitia Taasisi za umma zimeweza kufanya tafiti nzuri kujua uhalisia wa suala la ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu‘ –Esther Michael

Je, ni kwa namna gani Serikali inaweza kutumia majibu ya tafiti hizo kutatua changamoto za ajira katika nchi yetu?’-Esther Michael

Majibu yakatolewa na Naibu waziri wa Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira Antony MavundeSerikali kupitia Wizara imekuwa ikifanya au kutumia tafiti mbalimbali kushughulikia changamoto za ajira, upangaji wa mipango na utatuzi wa changamoto za ajira kwa vijana wa vyuo vikuu na wengineo‘ 

Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki ya uwezeshaji kwa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu ili kutatua changamoto za ajira katika nchi yetu‘ –Antony Mavunde

UMEWAHI KUMSIKIA PROF JAY AKIONGEA BUNGENI? HUYU HAPA SASA?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments