AyoTV

VIDEO: Mbunge Kiteto Koshuma kasimama kuhoji zile milion 50 za Rais Magufuli kila kijiji, anaomba ziongezwe

on

Baada ya Wizara ya fedha na mipango kuomba kuidhinishiwa zaidi ya trilion 9.5  kama bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Mbunge wa viti maalum CCM Kiteto Koshuma amesimama bungeni na kuhoji kuhusu bilioni 50 za Rais Magufuli alizoahidi wakati wa kampeni kuwa hazitoshi kumfikia kila Mtanzania hivyo anashauri ziongezwe.

ULIIKOSA HII? WAZIRI MPANGO ALIVYOOMBA KUIDHINISHIWA TRILION 9.5 ZA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments