Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Vijana 10 wabunifu wa Afrika walioshinda tuzo za Uingereza
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Vijana 10 wabunifu wa Afrika walioshinda tuzo za Uingereza
Mix

Vijana 10 wabunifu wa Afrika walioshinda tuzo za Uingereza

June 10, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Taaasisi ya kutoa tuzo za watu Wabunifu na waliofikia malengo kwenye nyanja mbalimbali duniani Global TED imetoa tuzo kwa vijana 10 wa kiafrika walioweza kufanikiwa kuleta ubunifu na maendeleo kwenye nchi zao.

Tuzo hizi hutolewa kila mwaka Uingereza na kwa mara ya kwanza Washindi watazungumza na vijana wengine katika hafla itakayofanyika Arusha Tanzania August 2017.

Kwa Afrika mashariki Mwanahabari mchunguzi Yasin Kakande kutoka Uganda ameweza kuingia kwenye list hii kwa kufanikiwa kupata habari za kiuchunguzi zinazohusu uvunjifu wa haki za binadamu kwa Wafanyakazi wa kiafrika kwenye nchi za mashariki ya kati (Middle East).

Mwanabailojia aliyegundua tiba ya fangas kwenye mwili wa binadamu Mennat El Ghalidkutoka Egpt amefanikiwa kushinda tuzo hiyo kama kijana aliyeleta mapinduzi kwenye sekta ya tiba na afya pia mtaalam wa computer Abdighani Diriye kutoka Somalia na Mchekeshaji Carl Joshua Ncube kutoka Zimbabwe  ni miongoni mwa waliopata tuzo hizo.

 

Mwanasayansi Mennat El Ghalid kutoka egypt
Mwanaharakati wa maji safi na salama Saran Kaba Jones kutoka Liberia
Mwanasheria na mwanamitindo Wale Oyejide kutoka Nigeria
Mwanaharakati wa makosa ya kivita Adong Judith kutoka uganda
Mwanahabari mchunguzi Yasin Kakande kutoka Uganda
Mwanaharakati wa haki za wapenzi wa jinsia moja (LGBT) Katlego Kolanye kutoka Botswana
Mwanamuziki wa Regge Kasiva Mutua kutoka Kenya
Comedian Carl Joshua Ncube kutoka Zimbabwe
Mtaalamu wa Computer Abdighani Diriye kutoka Somalia
Mwalimu Robert Hakiza kutoka Congo

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Mwanamitindo Mtanzania anayemiliki nyumba New york Marekani?Bonyeza play kutazama

 

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: Top 10
Admin June 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article #BREAKING: Mzazi mwenza wa Zari The Boss Lady amefariki dunia
Next Article FULLVIDEO: List ya walioshinda Tuzo za Vodacom Premier League 2017
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?