AyoTV

VIDEO: “Mkinichagua February 18 mniletee madai yenu” -Elvis Mosi

on

Leo January 29 2018 kampeni za kugombea ubunge jimbo la Siha  zimeendelea, ambapo February 17 kutafanyika uchaguzi mdogo wa marudio, baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Godwin Mollel kujiuzulu ubunge  Chadema na sasa anagombea tena nafasi hiyo kupitia CCM.

Leo kampeni hizo zimeendelea ambapo mgombea kupitia CHADEMA Elvis Mosi amenadi sera na amesema akishachaguliwa wananchi wampelekee madai yao  February 18 2018.

BREAKING: Meya DSM ajibu kuhusu dereva wake kudaiwa kutaka kufanya fujo ofisi za CCM

Soma na hizi

Tupia Comments