Top Stories

Vijana waliosota miaka 6 bila ajira waibuka wawapa ajira watu 100 (video+)

on

Ayo TV & Millardayo.com inakukutanisha na Vijana wa Kitanzania waliosota miaka 6 Mtaani bila ajira na sasa wameanzisha Website kwa ajili ya kuwaunganisha waajiri na wafanyakazi.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu stori ambapo ndani yake wameelezea walivyosota miaka sita na mengineyo.

 

RC MAKALLA ATINGA TEMEKE, AFUNGUKA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI “WASIFIKE MAHAKAMANI”

 

Tupia Comments