Mix

Vikosi vya watu 400 vyatua mlima Kilimanjaro kupambana na moto

on

Vikosi vya watu mia nne vimefika katika eneo la Wona lililopo eneo la mlima kilimanjaro kwa ajili yakukabiliana na janga la moto lililotokea eneo hilo ambapo hadi hivi sasa chanzo bado hakijajulikana

Kamishna msaidizi mwandamizi mawasiliano kutoka Mamlaka ya hifadhi za taifa (TANAPA) Paschal Shelutete amesema wakati jitihada za kuuzima moto huo zikiendelea shughuli za utalii kwenye mlima hazijasitishwa

MOTO BADO UNAWAKA MLIMA KILIMANJARO “JANA UMETUSHINDA, SHUGHULI ZA UTALII HAZIJADHURIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments