Top Stories

Viongozi mbalimbali waliofika Korogwe kumzika Balozi Kijazi (+picha)

on

Viongozi mbalimbali wamehudhuria shughuli za mazishi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi nyumbani kwake wilayani Korogwe, Tanga.

Balozi John Kijazi atazikwa leo mkoani humo.

Soma na hizi

Tupia Comments