Mix

VIDEO: Pombe za Viroba zilivyosababisha mfanyabiashara ajiue

on

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Serikali ipige marufuku pombe za viroba na baadae ikaanza msako kwa wafanyabiashara wa pombe hizo.

Taarifa iliyoripotiwa leo March 8 2017 kupitia Clouds TV habari kutokea Dodoma imesema kuwa mfanyabiashara mmoja amejiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kukutwa na shehena ya pombe za viroba. Mfanyabiashara huyo alikuwa ni wakala mkuu wa usambazaji wa pombe hizo. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Serikali kuhusu operesheni ya kukamata pombe aina ya viroba, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments