Duniani

List ya Visiwa 10 Bora Duniani 2016 imetoka, Afrika kipo kimoja tu.

on

Duniani zipo sehemu nzuri na za kuvutia zaidi, maeneo mengi ya visiwani yanawezekana yakaongoza kwa kuvutia kutokana na kuwa na mazingira mazuri ya asili yanayovutia, watu wengi hutumia maeneo haya kwa ajili ya mapumziko na utalii. 

Mtandano wa CNN wametoa hii list ya Top Ten ya visiwa bora zaidi duniani 2016

 10. Fernando de Noronha, Brazil

.

Idadi ya watu wanaoruhusiwa kutembelea fukwe ya Fernando de Noronha ina kiwango 

9. Bora Bora, French Polynesia

.

Fukwe zenye mchanga mweupe na rasi ya bluu ni sababu mbili ambazo zimeifanya Bora Bora kuwa kwenye nafasi ya tisa kwa mwaka wa pili mfululizo

8. Phuket, Thailand

.

.

7. Mauritius, Africa

.

.

6. Mallorca, Spain

.

.

5. Bali, Indonesia

.

Bali ni kati beach nzuri inayojulikana lakini pia ina mfumo wa matuta ya mchele ambayo yanalindwa na UNESCO

4. Providenciales, Turks and Caicos

.

Inajulikana kama ‘Provo’ Providenciales ni kisiwa kilichoendelea  sana.

3. Jamaica, Caribbean

.

Haikuwa kwenye orodha ya Top ten mwaka uliopita lakini sasa imefika hadi nafasi ya tatu

2. Santorini, Greece

.

Kisiwa hiki kina Mabaki ya Volcano iliyolipukia kwenye bahari ya Aegean na ina beach yenye mchanga mweusi

1. Maui, Hawaii

.

kisiwa hiki kina beach nzuri na zenye kuvutia zaidi ya 80

ULIIKOSA YA MASONGANGE NA RAMMY GALIS AIRPORT, KWA NINI DUDUBAYA KAMUOMBA SHETTA MSAMAHA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments